Our website is under construction

If you have any questions, please do not hesitate to contact us.Welcome to Viktoria Schools


Best education is possible.

At Viktoria English Medium Schools we are committed in providing the best education for all children.

We aim at creating motivation for life long learning and therefore preparing our students to succeed in both professional and private life.

We provide a nurturing environment where good communication skills as well as creative thinking support children to achieve their full academic potentials.

After attending Viktoria Schools we believe that our pupils will contribute to a just and peaceful society as open-minded and responsible citizens.
Viktoria Schools are striving to act as role models in responding to the country`s educational challenges.


__________________________________________________________________________

Ukurasa upo kwenye matengenezo

Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali usisite kuwasiliana nasi.Karibu Shule za Viktoria


Elimu bora inawezekana.

Shule za viktoria zinalenga kutoa elimu bora kwa watoto wote.

Tunalenga kutengeneza hamasa ya maisha marefu ya kujifunza na hivyo kuwaandaa wanafunzi kufanikiwa katika ujuzi na maisha binafsi.

Tunakuza mazingira ya kujifunza ambapo ubunifu, mawasiliano na pia fikra bunifu humsaidia mtoto kufikia malengo yake yote ya kitaaluma.

Baada ya kujiunga na Shule za Viktoria tunaamini kwamba wanafunzi wetu watakuwa na mchango katika kujenga jamii yenye amani na maadili wakiwa wenye uwazi wa fikra na wawajibikaji.

Shule za viktoria zinajitahidi kuwa mfano wa kuigwa katika kukabili changamoto za kielimu nhini.